Posters are up, food is being bought and the chapel property is cleared for the big weekend.
Here's a copy of the posters that were made:
TANGAZO
Mkutano wa
Injili
Mwinjilisti Jekonia Rusogi atahubiri. Wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa.
Mkutano utafanyika katika uwanja wa Kanisa La Biblia, Gungu Geza Ulole, na utaanza tarehe 24 hadi 26, kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:30 jioni.
"Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja" - Mat. 24:14

No comments:
Post a Comment